mambo vp
Karibu kwenye ukurasa wetu unaotoa fursa na mbinu za kujiinguzia kipato mtandaoni kupitia simu yako laptop au desktop yao
Leo tutaangazia biashara ya Forex yenye utajiri mkubwa duniani
FOREX ni biashara yenye utajiri mkubwa zaidi duniani ambayo inafanyika mtandaoni na inahusisha Masoko makubwa na taasisi kubwa duniani na watu wa kawaida kama Mimi na wewe
Unaweza kutengeneza akaunti kwa broker ambaye amesajiliwa(regulated) na vyombo. Vya kimataifa vya fedha
Wapo broker wengi unaweza kuwatumia ila kwa Tanzania wanatumika
Temples.com
Tickmill.com
Binary.com
Hawa wanatumika zaidi Afrila mashariki kwa sababu wanarahidisha utoaji na uwekaji wa fedha kwenye akaunti yako
Hii biashara imechagizwa sana na mapinduzi ya Teknolojia ambapo sasa mtu yeyote anaweza kuifanya kwa kutumia mtandao wa internet kompyuta au simu janja/smartphone
Forex ni kifupisho cha Foreign exchange yaan ubadilishaji wa fedha za kigeni kama. Dollar, Euro, paund, Yen
Kama vile wanavyofanya bureau de change ila forex imafanyika online
Forex ni biashara halali kabisa ulimwenguni na INA utajiri mkubwa sana pia hasara vile vile
Biashara hii unaweza kufanyia popote unahitaji tu compyuta laptop au simu janja(smartphone)
Programu maalumu yenye uwezo wa kusoma solo program hii inaitwa Trading platform zipo nyingi ila maarufu sana ni meter trade 4 au 5 ( MT 4 na MT 5
HATUA ZA KUFUATA ILI UWEZE KUFANYA BIASHARA YA FOREX
1:Lazima uwe na Elimu( knowledge)
Inakadiriwa kuwa 98% ya wanaofanya biashara hii ya forex wanapoteza pesa zao sababu kibwa ni ukosefu wa knowldge hivyo kama unataka kuifanya biashara hii tafuta kwanxa knowledge
Ili unapofanya uwekezaji wako uweze kufanya biashara hii na kupata faiida
2:Lazima ufungue account kwa broker akaunti utakayofungua kwa broker ni kwaajili ya kuweka mtaji wako ambapo broker anakuwa mtu kati atakayekuunganisha na soko hvyo utaweza kutoa na kuweka pesa kwa usalama kabisa
3:Lazima uwe na platform hii ndio sehemu inayoonyesha soko na hivyo unaweza kuuza na kununua na ukapata faida yako platform zinapatikana kwa broker platform maarufu zinazotumia zaidi duniani ni Meter trade 4 na 5
4 : Lazima uwe na mtaji ili uweze kuanza forex haikuhitaji uwe na mtaji mkubwa unaweza kuanza na kutokana na kiwango cha broker kama temples.com unaanza na dollar 1 binary.com dollar 10 na wengine dollar 100 na kuendelea
Ahsante nitashuru kama utaacha comment yako hapa chini
No comments:
Post a Comment