Wednesday, January 8, 2020

Jipatie dollar($) 2 kila siku kwa kualika watu kipitia mitandao ya kijamii kama Facebook whatsup Instagram na twiter.

Habari za muda mpenzi wa blog hii
Karibu Leo ujifunze jinsi ya kujipatia dollar 2 kila siku online kwa kuwaalika watu kujiunga na website inayotangaza bidhaa mbalimbali mtandaoni
 Leo nitaonyesha ni namna gani unaweza kujiunga na ukatengeneza $ zaidi ya 2 kila siku....
 Utabonyeza link hii itakayokupeleka moja kwa moja kwenye website hiyo  https://www.Idplr.com/a/Mcharo



Hatua za kufuata baada ya kibonyeza hiyo link


Ukibonyeza hiyo link itakupeleka mpka sehemu kama hii bonyeza Register for free

Moja kwa moja utapelekwa sehemu hii





Utajaza sehemu zote hizo za majina yako email na password then utabonyeza ant sparm mpka itokee tiki pia anti spam wanaweza kukupa picha uchague kama test na ukimaliza click hapo itatokea tiki kuonyesha imekubali then bonyeza next ukibomyeza hapo utaletwa mpka sehemu hii  hapa inaonyesha tayari umekubaliwa hivyo unatakiwa uverify account yako  Verification itakuwa imetumwa kwenye email uliojisajili nayo hivyo utaenda kwenye email inbox yako ili kuverify

Baada ya kuingia kwenye inbox ya email yako utakuta ujumbe kama huu then utabonyeza sehemu iliyoandika  click here to activate your account

 Baada ya kubonyeza verification utapelekwa hadi kwenye dashboard kama hii


Ili uweze kupata link yako ya kujiingizia kipato  bonyeza Affiliate then shuka kidogo chini bonyeza maandishi mekundu yaliyoandikwa affiliate program here.
 Baada ya kubonyeza utaletwa mpaka hapa ukifika hapa shuka  mpaka  chini kabisa
Ukishuka mpaka chini utakuta maelezo mengi hayo achana nayo unachotakiwa kufanya ni kutafuta maneno hayo hapo chini na ubonyeze
Baada. Ya. Kubonyeza utapelekwa mpka hapa baada ya kufika hapa weka jina lolote unalopenda Ili liunganishwe na link yako 
Baada ya kuweka username bonyeza create moja kwa moja utapelekwa kwenye ukurasa mwingine shuka mpaka chini kabisa utakuta link mbili method 1 na method 2 achana na method 1 chukua link ya method 2 hiyo ndio link yako itakayokuwezasha kuwaunganisha watu na ukalipwa pesa yako  fasta
JINSI YA KUANGALIA KAMA UMELIPWA NA NAMNA YA KUJIUNGA NA NJIA ZA KUTOA PESA YAKO
    Baada ya kupata link yako rudi kwenye dashboard yako kama inavyoonekana hapo bonyeza Affiliate kama unavyoina hapa
Utaletwa kwenye ukurasa huu then utabonyeza menyu kama unavyoiona IPO karibu na mcharo
Utaletwa kwenye page hii ya user home kwenye dashboard utabonyeza affiliate info ambapo ndio inaonyesha kiasi ulicholipwa watu waliojiunga na njia ya kutoa pesa yak...Mimi napendelea paypal

Ingiza njia ya kutoa pesa kama inavyoonekana hapa
Mpka hapo utakuwa tayari umejisajili na kazi uliyonayo ni kualika watu kupitia social network zote kwa kupitia link uliyopewa na unaweza kupata $ nyingi endapo watu watajiunga kwa kupitia link yako
 Nakukaribisha tena na tena usikose kufuatilia mbinu za kujiingizia kipato online kirahisi hapa hapa bennymcharo.blogsport.com
Acha comment yako hapa chini nafurahi nikisika mawazo yako pia bonyeza hapa Ili kujiunga na Affiliate market. .https://www.Idlr.com/a/Mcharo

No comments:

Post a Comment