Karibu Leo ujifunze jinsi ya kujipatia dollar 2 kila siku online kwa kuwaalika watu kujiunga na website inayotangaza bidhaa mbalimbali mtandaoni
Leo nitaonyesha ni namna gani unaweza kujiunga na ukatengeneza $ zaidi ya 2 kila siku....
Utabonyeza link hii itakayokupeleka moja kwa moja kwenye website hiyo https://www.Idplr.com/a/Mcharo
Hatua za kufuata baada ya kibonyeza hiyo link
Ukibonyeza hiyo link itakupeleka mpka sehemu kama hii bonyeza Register for free
Moja kwa moja utapelekwa sehemu hii
Utajaza sehemu zote hizo za majina yako email na password then utabonyeza ant sparm mpka itokee tiki pia anti spam wanaweza kukupa picha uchague kama test na ukimaliza click hapo itatokea tiki kuonyesha imekubali then bonyeza next ukibomyeza hapo utaletwa mpka sehemu hii hapa inaonyesha tayari umekubaliwa hivyo unatakiwa uverify account yako Verification itakuwa imetumwa kwenye email uliojisajili nayo hivyo utaenda kwenye email inbox yako ili kuverify
Baada ya kuingia kwenye inbox ya email yako utakuta ujumbe kama huu then utabonyeza sehemu iliyoandika click here to activate your account
Baada ya kubonyeza verification utapelekwa hadi kwenye dashboard kama hii
Ili uweze kupata link yako ya kujiingizia kipato bonyeza Affiliate then shuka kidogo chini bonyeza maandishi mekundu yaliyoandikwa affiliate program here.
Baada ya kubonyeza utaletwa mpaka hapa ukifika hapa shuka mpaka chini kabisaUkishuka mpaka chini utakuta maelezo mengi hayo achana nayo unachotakiwa kufanya ni kutafuta maneno hayo hapo chini na ubonyeze
Baada. Ya. Kubonyeza utapelekwa mpka hapa baada ya kufika hapa weka jina lolote unalopenda Ili liunganishwe na link yako
Baada ya kuweka username bonyeza create moja kwa moja utapelekwa kwenye ukurasa mwingine shuka mpaka chini kabisa utakuta link mbili method 1 na method 2 achana na method 1 chukua link ya method 2 hiyo ndio link yako itakayokuwezasha kuwaunganisha watu na ukalipwa pesa yako fastaJINSI YA KUANGALIA KAMA UMELIPWA NA NAMNA YA KUJIUNGA NA NJIA ZA KUTOA PESA YAKO
Baada ya kupata link yako rudi kwenye dashboard yako kama inavyoonekana hapo bonyeza Affiliate kama unavyoina hapa
Utaletwa kwenye ukurasa huu then utabonyeza menyu kama unavyoiona IPO karibu na mcharo
Utaletwa kwenye page hii ya user home kwenye dashboard utabonyeza affiliate info ambapo ndio inaonyesha kiasi ulicholipwa watu waliojiunga na njia ya kutoa pesa yak...Mimi napendelea paypal
Ingiza njia ya kutoa pesa kama inavyoonekana hapa
Mpka hapo utakuwa tayari umejisajili na kazi uliyonayo ni kualika watu kupitia social network zote kwa kupitia link uliyopewa na unaweza kupata $ nyingi endapo watu watajiunga kwa kupitia link yako
Nakukaribisha tena na tena usikose kufuatilia mbinu za kujiingizia kipato online kirahisi hapa hapa bennymcharo.blogsport.com
Acha comment yako hapa chini nafurahi nikisika mawazo yako pia bonyeza hapa Ili kujiunga na Affiliate market. .https://www.Idlr.com/a/Mcharo