Miaka ya hivi karibuni kumekuwa ukuaji mkubwa wa matumizi ya simu na teknolojia kukua kwa kasi
Hivyo teknolojia hii inakuja na faida. kubwa hasa biashara za mtandaoni
Sasa Leo nitaonyesha baadha ya biashara ambazo unaweza kuzifanya ukiwa na simu yako au laptop yako na ukajiapatia kipato kizuri
Zifuatazo ni programu zinazokuwezesha kupata pesa kupitia smatphone/laptop yako
1.Kuuza. bidhaa za biashara yako mtandaoni kupitia tovuti za watu wengine au ukafungua tovuti yako au blog na ukatangaza na watu wakaziona na kuzinunua na unaweza kupata pesa yako kwa njia ya Debit/Credit au M-pesa Tigo pesa Airtel money n.k
2.Kufanya kazi za ajira mtandaoni
Kuna kampuni zinazohitaji wafanyakazi wenye ujuzi tofauti tofauti kwaajili ya kufanya kazi baada ya kukamilisha kazi hiyo unalipwa kulingana na makubaliano
Baadhi ya kazi hizo ni
>Kutafsiri lugha kama kiingereza to kiswahili French to English n.k
>kutengeneza wavuti/tovuti (web design)
>kutengeneza program za kompyuta
>kuchapa yaani kusikiliza na kutohoa sauti kuwa maandishi
>survey na research
Mitandao inayotoa huduma hizo ni
survey compare.net Odesk.com Onlinejobs.net Freelencer.com peopleperhour.com na fever.com
3 kutangaza biashara kupitia link: hii ni njia ambayo ni rahisi MTU kufanya maana haihitaji uwe na blog au tovuti kama upo eneo lenye internet unaweza kuifanya hii biashara unachotakiwa kufanya ni kujiunga kwenye mitandao ya kijamii na kuwa na marafiki wengi kama fb twite instagram email n.k hivyo utawatumia link yako watakavyojiunga kupitia link yako wengi ndivyo utakavyopata pesa nyingi hapa juhudi ni ushawishi wako tu
Hii ni njia rahisi kadri utakavyokuwa na marafiki wengi ndivyo utakavyo pata pesa nyingi zaidi
Ifuatayo ndio mitandao inayotoa huduma hizo
Bonyeza link hii
A.https://www.Idplr.com/a/Mcharo Hii ni kampuni nzuri na inatoa kamisheni nzuri kila mtu atakayejiunga utapata $0.20 sawa
na Tsh 500
B.paid2refer kampuni hii inakuta ujiunge na ukishapewa link unaisambaza kwenye mitandao ya kijamii,tovuti,baruapepe,blog n.k utapewa kiasi cha $0.5 kila atakeyejiunga sawa na tsh 1150/-kwa kila atakayejiunga na link yako
C.cashfly hii nayo pia hutoa link na malipo hubadilika kutokana na nchi uliyopo
D.adfly hii nayo hutoa link pia
E.paidtoclick hii link ni tofauti na nyingine hapo juu hii unapewa link kadhaa za kuzifuata na utalipwa kwa kubonyeza link na kusoma kila click utalipwa $0.10
Anza sasa shirikisha marafiki zako upate pesa za kuendesha maisha na kupata mtaji
4.kuuza bidhaa za watu wengine/makampuni kupitia tovuti/blog yako
Hapa unajisajili na baadhi ya makampuni yanayouza bidhaa mtandaoni duniani kama amazon eBay kisha unaonyeaha matangazo yao kupitia tovuti/blog yako au mitandao ya kijamii na watu wakinunua unapata unalipwa kamisheni kulingana na bidhaa uliyolipwa
Kujiunga bonyeza website hizo
Amazon
ebay
5.Kuuza matangazo kupitiaTovuti/blogu /YouTube channel
Kuna baadhi ya makampuni duniani ambayo yanawakutanisha watangazaji na wauzaji kupitia matangazo kupitia Tovuti/blog/YouTube channel
Watangangazaji wanajiunga nakutuma matangazo ya biashara zao na watangazaji kwenye tovuti na kuruhusu matangazo kuonekana katika tovuti zao
Hivyo wauzaji wanalipa kila tangazo linaloonekana katika tovuti au watu wanapo bonyeza matangazo hayo
Makampuni yanayotoa huduma hizo ni
google Adsense,chitika na Buysellads
Ahsante karibu tena. utembelee blog yetu kama una maoni
Andika hapo chini